MAONYESHO YA SLAIDI KWA AJILI YA SHULE SABATO

Kwenye tovuti hii utapata Onyesho la slaidi la Pawapointi kwa ajili ya mpango wa shule Sabato, litakalokusaidia kuandaa na kufundisha lesoni kila juma.

Zimetafsiriwa na: Daniel Chimagu & Mpathe Ziro & Dionize Justine

2020 Masomo ya Robo ya 2
Wasilisho la Pawapointi
Dondoo
04/04/2020
01. UPEKEE WA BIBLIA
Mafungu ya Kukariri

Unaweza kuwasiliana nasi kwa baruapepe hii: escuelasabatica@fustero.es